Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Hii clip ni ya Mwaka gani? mbona inafanana ya zamani, haswa Mwanza?.., magari ya kitambo., kunakaa a village town! honestly kama ni ya 2000s then Mwanza imechoka sana!!!..,
Notice the internet cables in every house?
Kenya miji yenu imeendelea Sana,safi sanaPia Eldoret is way better..., tazama pole pole...,