Kisumu vs Mwanza

Mwanza, Kisumu, Nakuru, Eldoret... ni kama hizi miji zote zinatoshana. mwanzoni, nilidhania Mwanza ni jiji kubwa sana kama mombasa. huku ikizingatiwa kuwa ndo jiji la pili Tz. kumbe tu tuko ligi moja.. ooooooooohh.... 😮
 

View attachment 1991422


















 
Mwanza, Kisumu, Nakuru, Eldoret... ni kama hizi miji zote zinatoshana. mwanzoni, nilidhania Mwanza ni jiji kubwa sana kama mombasa. huku ikizingatiwa kuwa ndo jiji la pili Tz. kumbe tu tuko ligi moja.. ooooooooohh.... [emoji50]View attachment 1970091
nimefika Kisumu na Nakuru bado eldoret, lakini kuzilinganisha na Mwanza its a joke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…