Kisumu vs Mwanza

Unaongea as if tuko 1970s era's
Wake up.
Dunia inabadilika.
 
Unaongea as if tuko 1970s era's
Wake up.
Dunia inabadilika.
Dunia inabadilika ndio ila ujue tu hata new york watu wanajenga mansion zao ila mpaka uwe na hela maana maeneo n ghali ko wale wanaonunua na kupanga apartments kule mostly wanauwezo ndio maana ukiingia mtandaoni mtoto akimzawadia nyumba mzazi wake wanaona n big thing kwa sababu ya maeneo ni ghali kumilikiwa kirahisi ila tz na kenya tz ardhi n bei chee na haimilikiwi na watu wachache na pia ni kubwa mnoo ivo watu kujenga n issue ndogo kuliko kununua apartments maana kuna arthi mpaka sqm 1 n 5000 au 4000 sawa na 200 ya ksh ila kenya arthi n ghali ivo njia nyepesi ya mtu nikununua apartments sema tu kinachoharimu fashion ya settlement ya tz n kutokupangiliwa
 
Hii kumbe haka ndo kamji wanakafananisha na mwanza?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakajifikia mwanza wala Arusha, wakashindanishe na moshi au iringa
Leta vitu updated and detailed Kama hizi...
[emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484][emoji1484]

 
Unaongea as if tuko 1970s era's
Wake up.
Dunia inabadilika.
Do you even understand the meaning of DIVERSITY.. we can't all think alike and live as westeners to feel civilised. We have our own way of living and as an intellectual (only if you really are) you should understand that culture is something that is nurtured to guide a society based on it's own NATURE and NEEDS.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…