Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Kiswahili bado hakijajikidhi jomba, ama hujui kisawahili ni maneno yaliyo toholewa kutoka lugha zingine na kuletwa pamoja..
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 1270576
This must be the biggest mall in Tanzania
This must be the biggest mall in Tanzania
Kama mabweni ya tanga tech.....muongo mkubwaThis one in Eldoret alone is 3 times larger than that tin house.....
Hii si ndiyo city center 2019
With gays pride colours!Kama mabweni ya tanga tech.....muongo mkubwa
ππππWith gays pride colours!
Hicho sio kiswahili...mtanzania gan anatumia broken hivyo kama si nyang'au
Pahari, mahari (place), halufu, mpila[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
That's Oxford dictionary
Oxford's Language Communities | Oxford Languages
Oxford Languages runs a global community-led initiative to develop data in all the world's major languages. Find out more here.sw.oxforddictionaries.com
Subutu si aliandika huyo kunguru wa KenyattaSasa wewe unaleta link ya Oxford na kila siku humu mnaandika subutu,embu ?
Wanajikana leo...Sasa wewe unaleta link ya Oxford na kila siku humu mnaandika subutu,embu ?
Wanajikana leo...
Hilo neno kw battle ya dar wanapenda kulitumia sana...
Nakumbuka geza alijaribu kunirekebisha, mara kule kw battle ichoboy akalitumia, geza akabaki kumuuliza km ni thubutu au subutu...
Jibu alilopata aliambiwa ni subutu..nilicheka sana
Subutu si aliandika huyo kunguru wa Kenyatta