Kisumu vs Mwanza

Ndio maana nakuambia tatizo lako bado ni moja tu, umekariri!!
Narudia tena UMEKARIRI
 
Hahaha eti roads and you failed to bring 6 lane,hospitals leta hospitali bora kuliko bugando, hotels leta hoteli five star kama malaika...leta kwanza hivyo ndo tuendelee...
 
My friend in Kenya also most houses ni za individuals who then go ahead and rent them out. Estates are just designated land with houses. These estates are separated by either roads, rivers, forests.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usiwe mbishi. Just come in Mwanza with the same kind of business utakuwa suprised. Unless you sell or rent them out at a very cheap price, usitegemee kupata wapangaji

Consumer behaviour is just different. Hizo estates hazipo glorified in Mwanza maana hukaa kama public servant residential houses. Only people with less financial muscles to build their own houses are expected to live in there. Ndo maana Tz watu hununua na kuzipangisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba, yaan wanazitukuza sana Estates kwao, Waambie wakuletee makazi out of Estates, uni tag wakileta
 
Blue waters hotel and Ciala resort.
Six lane roads iko Mamboleo picha ndio sina.
Kisumu specialist Hospital is better than That bugando thing.
Hahaha eti roads and you failed to bring 6 lane,hospitals leta hospitali bora kuliko bugando, hotels leta hoteli five star kama malaika...leta kwanza hivyo ndo tuendelee...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…