Kisumu vs Mwanza

Blue waters hotel and Ciala resort.
Six lane roads iko Mamboleo picha ndio sina.
Kisumu specialist Hospital is better than That bugando thing.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kisumu wala Mombasa hakuna hoteli rated 5 star we boya...
Haha muwe na 6 lane msiiweke humu mnavyopenda misifa..
Leta picha ya hiyo hospitali
 
Blue water hotel is a 5 star hotel in Sri Lanka.... Teargrass are you Drunk..?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂kumbuka hakuna watu waongo kama hawa jamaa, walitaka kuidanganya hadi dunia kuwa Oldivai gorge iko Kenya (sorry kama pronunciation ya hiyo place nitakuwa nimekosea kimaasai kigumu)
 
Hadi ndege zao wanaziandika ngorongoro crater.... Nasikia hadi kuna bidhaa zao wanaziandika made in tz ili zipate urahisi wa kuingia Afrika Kusini...kutembelea nyota za watu ndo zao... Na ngoja hizo bidhaa tuzibambe,watatuambia.
 
Watakuambia wana GDP kubwa wasijue kwamba GDP pekee can't measure the living standards of people, that's why nchi nyingine GDP kubwa but maisha ya watu wengi ni ya kishenzi tu exactly kama hawa jirani zetu,
 
Ukiwaambia wanapinga... What else apart from kujimwambafai has their great GDP helped them... Hakuna...poverty all the way..
 
You spelled it wrong...so it is bluewater hotel...but that is the upcoming hotel and its capacity will be around 250 rooms...We also have an upcoming hotel,Mega five star hotel with a capacity of more than 400 rooms... And currently we still have a hotel rated five Star....So kick ur sack.
 
ROBERTO 20 mbona zaidi ya nusu ya watanzania are struggling in multidimensional poverty? Soma hapa kisha unipe jibu kamili bila ushabiki wa kijinga..
[emoji116][emoji116][emoji116]
Ukiwaambia wanapinga... What else apart from kujimwambafai has their great GDP helped them... Hakuna...poverty all the way..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
What about in Tanzania wenye GDP ndogo? Maisha yako vipi? Soma unielezee[emoji116][emoji116][emoji116]

Watakuambia wana GDP kubwa wasijue kwamba GDP pekee can't measure the living standards of people, that's why nchi nyingine GDP kubwa but maisha ya watu wengi ni ya kishenzi tu exactly kama hawa jirani zetu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…