Kisumu vs Mwanza

Mbona unaogopa kuni quote, au wewe zile aerial photos za jana zimeshakutia kiwewe...
Manake naona umeacha kuchangia una dangiza dangiza tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Nitiwe kiwewe na picha za MombasaπŸ˜±πŸ˜±πŸ˜‚πŸ˜‚hahaha.....halafu kuna uzi jana nilikutag... Ukachungulia ukakimbia hahahaha
 
As a form 4 wa Kenya I can tell you huu ni UONGO wa hali ya juu!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜ komora096 umeiona hii kweli
 
Nlimuuliza anitajie sehemu ambayo hawezi jiunga na chuo hapa duniani km form4 wa kenya akakimbia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…