Kisumu vs Shinyanga

Kisumu vs Shinyanga

Atakayesema mwananyamala A ni uswahili kupitiliza nitamcheka sana.Atakayesema ubungo maziwa ni uswahilini nitamcheka sana tyuuu.Atakayesema mbagala,gongo la mboto,chanika ni uswahili huyu ni kchaa zero brain

Sio kwa ubaya jamanii ukweli usemwee tyu

Nina marafiki kibao wanakaa mitaa hiyo sijui wanawezagajeee

Mambo ya uswaziii nayapenda tena mie mswahili mnooo ila sasa sipendi tyu palivyo pabayaaa
Uwiiiii jaman huko ndo sijui mwananyamala ilobaki ukiondoa A ambapo ni afadhali,buza tandika tandale, jangwani, manzese,tabata tot uwiiii hapafaiiii yaani mnaoishi humo sijui mnasavaivu vepee jamani eeeh

Mfano huko Tabata T.o.T ya kupitia darajani mkono wako wa kulia kwa mtu anayetokea tazara duuuh hiv mnaoishi pale mnapawezaajeeee??Nyumba zimesongamana yaani hakuna njia hata ya gari kupita wala bajaji ni vichochoro tyuuuu mafuriko yamewakumbuka juzi sijui jana mimaji imejaa kila nyumba hapapitikiii pabaya pananukaaah mhhhh!!Sijui mnawezajee kweli?mie hata usingizi sitapa sio kwa msongamano ule nyumba low quality mavyoo hayana mabati vichochoro vimejaa maji machafu matakataka mhhhhh hapanaaah ray nasema noo mnawezaje kuishi muleee????Sijui hata serikali isaidie vipi hayo maeneo yaweze kuwa angalau mazuri na kuwe na system za maji taka na nyumba za low quality zibomolewe au ziboreshweeee

Tot ni kama kuzimuuuuuu

Serikali isaidie kuboresha settlements maeneo haya mkisindwa kabisa wapeni elimu na uelewa kuhusu namna ya kuboresha huko wanapoishi maana mh



Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ndio Dar is Slum katika uhalisia wake.
 
St Josephs College Shinyanga
20191231_201811.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom