Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

[emoji23]hawa jamaa wamejaa sana YouTube kule na vichwa vyao vya habari vya ajabu kama hivi ..

[emoji23]Eti...Mara pa...
 
Hahahaha hahahaha🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nalipongeza jeshi la polisi kwa kudhibiti hawa wahuni.

Wanatumalizia bandia kila siku kwa habari za uongo.

WAFUNGIE HIYO CHANNEL MILELE.NA WAHUSIKA WAENDE JELA WAKAJIFUNZE ADABU NA UTII
 
Wafungwe iwe fundisho
 
Mambo ya hatari sana kama ni uzushi

Mkuu hii haiitaji Akili sana ni Typical uzushi...
Mi ndo naona sasa hivi
Hebu angalia kuanzia kifuani,Uje Ubavuni jamaa ni Mtu wa Mazoezi yaani unaona ule mfupa wa Muscles mgongini Pia Tumbo liko flat kwenye hiyo Picha...
So utajua ni Uzushi na Wameweka Tuu picha ya Mheshimiwa!
 

Huyu bwana angejiuzulu tu. Kwa hakika hawa madogo wamemchoka katelefoni haswa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…