Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

Ila hawa vijana ujasiri walio nao wanaweza kunywa hata maji Kwenye Gumboots.
 
Aseh; haya ni matumizi mabaya ya mtandao, hao watu waliwaza nini kabla ya kuchapisha huu upuuzi?
Mpaka sasa nashindwa kuwaelewa hao jamaa
Ila lazima vichwani mwao watakuwa siyo sawa

Ova
 
Hawa wapuuzi funga wote
 
Wapigwe mvua za kutosha maana kuna wapuuzi wengi sana Youtube na titles zao za kindezi ndezi...

Hawana tofauti na wale matapeli wa "tuma pesa kwenye namba hii"
 
Hata hivyo hapa hamna kesi kwakuwa washitakiwa hawakutaja jina la waziri mkuu yoyote ni juu ya washitaki kuthibitisha kuwa waziri mkuu anayezungumziwa ni wa nchini mwao
kwaiyo kama hawakumtaja waziri mkuu lakini wameweka picha yake akiwa kifuani kwa mwanamke tena utupu?
 
Hao wananchi walikua wanatafuta viewers ili YouTube iwalipe

Kesho lazima wachezee mvua za kutosha, kila mmoja sio chini ya 15+
 
Hawa jamaa wana uwezo wa kwenda mto ruaha kuchukua mamba na kujitwisha kichwani, maana sio kwa ujasiri huo aisee.

Hivi hawajaona watu wengine kina mondi, kiba hao wanaochezewa sharubu kila siku mpaka waguse serikali?? Kama sio ujinga kichwani mwao basi wana ujasiri wa kujitwisha mamba mtoni hawa jamaa.
 
Wapigwe mvua za kutosha maana kuna wapuuzi wengi sana Youtube na titles zao za kindezi ndezi...

Hawa tofauti na wale matapeli wa "tuma pesa kwenye namba hii"
CCM imesheheni kila aina ya uchafu halafu hawajali hata chembe
 
Ndi maana TCRA wametufungia www za warumi
 
Hawa watoto huko YouTube wakomeshwe tu hakuna namna.. utakuta Mara "diamond apiga kolabo na Chris brown'' Mara mtanzania aolew na Obama... Na wakome tu
 

πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Watu wamevurugwa
 
Kwani walitaja jina la waziri mkuu au wanaowashitaki ndio wana jina la waziri mkuu? Mawaziri wakuu duniani wako wengi kwanini washitaki wameamua iwe ni waziri mkuu waTanzania?
Kwani picha wameweka ya Ndetanyahu?
 
Hata hivyo hapa hamna kesi kwakuwa washitakiwa hawakutaja jina la waziri mkuu yoyote ni juu ya washitaki kuthibitisha kuwa waziri mkuu anayezungumziwa ni wa nchini mwao
Picha waliweka za sura zao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…