Kisutu, Dar: Waliodai "Waziri Mkuu Kasim Majaliwa avujisha video, picha zake za ngono" Wapandishwa Kizimbani

Wachezewe Utumbo mpana wakimaliza kifungo chao cha miaka 30.5
 
Jamaa wana tafuta viewers kwa nguvu sana aisee..
Waziri Mkuu ni Muheshimiwa, afu unakuja mzushia vitu za ajabu kama izo ili upate viewers..

Ama kweli
Pesa inatafutwa kwa nguvu sana..
 
Hata hivyo hapa hamna kesi kwakuwa washitakiwa hawakutaja jina la waziri mkuu yoyote ni juu ya washitaki kuthibitisha kuwa waziri mkuu anayezungumziwa ni wa nchini mwao
ata kama picha waliyo weka inaonesha ni waziri wetu??
 

waziri angeita vyombo akakanusha huu uzushi si ingetosha?
 
Hiyo video lugha yenyewe mbaya. Hizo vidio lengo lake kumvunjia heshima majaliwa wakitaka aondolewe. Yote hayo ni vita dhidi ya umagufuli. Wanaona umagufuli ndani ya kassim majaliwa. Wapende wasipende huyo ndio mridhi ajaye wa magufuli
 
Hao jamaa wapumbv sana hata kama kutaka viewers siyo kwa style hiyo
Hicho kitendo kimewagarimu sana
Na sijuwi kama watakuwa wametoka mpaka sahv

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…