Mkuu
Roving Journalist, asanate sana kwa taarifa. Tunafuatilia kwa ukaribu mno kesi hii. Tupo pamoja na washtakiwa wote kwakuwa ndiyo waanzilishi wa mtandao wetu huu unaotufanya tujidai bila kuvunja sheria. Wakuu
Maxence Melo na
Mike Mushi tupo pamoja nanyi.