B BEHOLD JF-Expert Member Joined Nov 17, 2013 Posts 5,056 Reaction score 10,721 Jun 24, 2019 #21 Wema ndiye Miss Tanzania aliyeshiriki shindano la U-miss akiwa mdogo zaidi. Alikuwa na miaka 13 tu 2006. Ni kati ya watoto Majiniasi. Kwa sasa ana miaka 30.!!!
Wema ndiye Miss Tanzania aliyeshiriki shindano la U-miss akiwa mdogo zaidi. Alikuwa na miaka 13 tu 2006. Ni kati ya watoto Majiniasi. Kwa sasa ana miaka 30.!!!
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Jun 24, 2019 #22 BEHOLD said: Wema ndiye Miss Tanzania aliyeshiriki shindano la U-miss akiwa mdogo zaidi. Alikuwa na miaka 13 tu 2006. Ni kati ya watoto Majiniasi. Kwa sasa ana miaka 30.!!! Click to expand... 2006 miaka 17.....umri wa John ni Mara 2 ya umri wa Juma, ikiwa umri wa juma ni nusu ya umri wa Jenas ambao ni miaka 20, tafuta umri wa John baada ya miaka 10......... Mkuu hukusoma hiz hesabu?
BEHOLD said: Wema ndiye Miss Tanzania aliyeshiriki shindano la U-miss akiwa mdogo zaidi. Alikuwa na miaka 13 tu 2006. Ni kati ya watoto Majiniasi. Kwa sasa ana miaka 30.!!! Click to expand... 2006 miaka 17.....umri wa John ni Mara 2 ya umri wa Juma, ikiwa umri wa juma ni nusu ya umri wa Jenas ambao ni miaka 20, tafuta umri wa John baada ya miaka 10......... Mkuu hukusoma hiz hesabu?