Kisutu: Mhasibu wa Ubalozi wa Tanzania nje ya Nchi, kupandishwa Kizimbani

dubu

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2011
Posts
3,502
Reaction score
3,483
Wakuu,

TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi.

Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi.

Stay tuned.
 
uhujumu uchumi ama? maana siku izi hata buku 20 umehujumu
 
Wakuu,

TAKUKURU kwa kushirikiana na DPP mchana huu wanatarajia kumfungulia kesi mhasibu wa moja ya ubalozi wa Tanzania nje ya nchi.

Bado jina la Mtuhumiwa na Ubalozi anaofanyia kazi haujawekwa wazi.

Stay tuned.
Sijaona sababu ya kukimbilia kutoa taarifa ambayo haijakamilika
 
Msitutanie, msitupoteze kwenye lengo kuu, mmesababisha kifo cha mama wa watu, amekufa kwa mateso siku zote akipigania uhai wake huku akimkumbuka mtoto wake, Mungu alieziumba mbingu na nchi atawahukumu, alishasema visasi ni kwa ajili yake tumuachie, na tumeshamuachia.

Huu ni msiba wa kitaifa, umewagusa wote wenye mapenzi mema, Mungu amlaze mama wa watu mahali pema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa afe tu, +81 !?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom