tena hali hiyo inachangiwa na wanahabari.hebu sikiliza watangazaji wa redio mbalimbali na ona makala ktk magazeti yetu,ni aibu.tubadilike watz sio kila kitu tunyooshewe na BAKITA.Jamaa zangu watanga wakifika Dar wanasema kiswahili cha Dar kinatia aibu.
Uzuri wanasema uzuli
Msafiri wanasema msafili
Roho wanasema loho
Safari wanasema safali
Hivi skuli za Dar alphabet zao imekosekana R?
Katika nchi nzima sehemu yenye poor swahili ni Dar