Kiswahili cha HARDWARE and SOFTWARE kwenye Computer.

Verified

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
117
Reaction score
377
Wakuu na wazungumzaji wakuu wa kiswahili naombeni msaada wenu kujua kiswahili fasaha cha maneno haya kwa sababu nimepewa kazi ya kuandika report kwa kiswahili kutokana na aina ya research ninayofanya.

Msaada wenu tafadhali.
 
Nenda kwenye Google translate utapata majibu!
 
Back
Top Bottom