Wakuu na wazungumzaji wakuu wa kiswahili naombeni msaada wenu kujua kiswahili fasaha cha maneno haya kwa sababu nimepewa kazi ya kuandika report kwa kiswahili kutokana na aina ya research ninayofanya.