Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuona tu unavyokosoaAmebanduliwa na aliyembandika au?
Wakenya wanatuharibia Kiswahili
Sijakosoa nimeuliza swali na kutoa maoni yangu.[emoji23] [emoji23]Nakuona tu unavyokosoa
.Ona sasa kiswahili chao duuuh![]()
Kukosoa ni kwa aina nyingi pamoja na kuuliza swaliSijakosoa nimeuliza swali na kutoa maoni yangu.[emoji23] [emoji23]
Ona sasa kiswahili chao duuuh![]()
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa bwana.Kukosoa ni kwa aina nyingi pamoja na kuuliza swali
Dah!! Nimejikuta naangua kicheko..kamata like hiyooo..
Duh! Hapa nimetoka kapa
Dah!! Nimejikuta naangua kicheko..kamata like hiyooo..
Kishwaheli ya mukenya ni burdan kabisaDuh! Hapa nimetoka kapa
Duu nmeumwa kichwa kabisa
Kipochi manyoya wanakiita kinyambisiNyingine kwenye utabiri wa hali ya hewa waliandika vyua itakunya neno fala kwa halina shida nimesikia mara kadhaa wakitamka kweye runinga
Aaaaqh jaji mkuu naye kweli alikubali kubanduliwa kwa utepetevu ssa sijui ni utepetevu wa nini
Ni ile hali ya kutokuwa na bidiiAaaaqh jaji mkuu naye kweli alikubali kubanduliwa kwa utepetevu ssa sijui ni utepetevu wa nini