Ona sasa kiswahili chao duuuh
Kwahiyo mtaalam mtu akikwambia anataka kubandua marinda yako anamaanisha nini?Wewe ndiye unatatizo. Kubandua ni kuondoa kitu kutoka mahala kilipoganda. Tatizo lilko wapi?
Ukikuta nishaondoka, leo uniulize[emoji23] [emoji23] [emoji23] Sawa bwana.
Usiku nimekuomba kukuuliza, umenikaushia [emoji18] [emoji18] [emoji18]
Daaaahhhh!!! nimecheka kinyama
duh , nasubiri ajibuKwahiyo mtaalam mtu akikwambia anataka kubandua marinda yako anamaanisha nini?
Mkuu hapo kitakachofuata Shetani anajua. Tehetehetehe.Kwahiyo mtaalam mtu akikwambia anataka kubandua marinda yako anamaanisha nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Macho yameniuma nilivyojaribu kusoma hiyo ya pili!!