Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Kiswahili ya kenya ipo super sana, hata tz guys wana appreciate sana!1. Mtu Nguwa, hii njewere nimependa sana... 2. Nyuruchi iko huku 3. Msupuu wa Kamau anajua kukata cat walk 4. Endeleeni
Kiswahili ya kenya ipo super sana, hata tz guys wana appreciate sana!
Kiswahili ya kenya ipo super sana, hata tz guys wana appreciate sana!
Yes !
Wewe ako right! Joo unajua sisi wakenya hata kama tuko na mastress mob hatukuwangi na mudomo ndefu! Tunarimein sailensi !
Sie tuna stick kufaind doo za kukula bai the wei!
Hatuweit mpaka buda akusongeshee ma'doo zake. Hata Nyanyaangu bado anahaso kufaind doo na ni mudosi .
Wewe ni mnira? Jisunde joo!!!!!
Yes !
Wewe ako right! Joo unajua sisi wakenya hata kama tuko na mastress mob hatukuwangi na mudomo ndefu! Tunarimein sailensi !
Sie tuna stick kufaind doo za kukula bai the wei!
Hatuweit mpaka buda akusongeshee ma'doo zake. Hata Nyanyaangu bado anahaso kufaind doo na ni mudosi .
Tafasiri tafazali !
Btw Judgement ushawahi kula "githeri" na 'sukuma wiki"?
Hebu Tuone Na Swahili La Kongo Hapa....
Umecheki ni wanira? si nyiti kenye wana bonga, labda u wavutie nangos washikanishe. natambua wasupa wa bongo though machali ni ma mwere. kismat msupa