Yes !
Wewe ako right! Joo unajua sisi wakenya hata kama tuko na mastress mob hatukuwangi na mudomo ndefu! Tunarimein sailensi !
Sie tuna stick kufaind doo za kukula bai the wei!
Hatuweit mpaka buda akusongeshee ma'doo zake. Hata Nyanyaangu bado anahaso kufaind doo na ni mudosi .
Mtu nguwa, leta kiswahili cha Kenya tupate ladha kamili kamili
1. Mtu Nguwa, hii njewere nimependa sana...
2. Nyuruchi iko huku
3. Msupuu wa Kamau anajua kukata cat walk
4. Endeleeni
Hebu Tuone Na Swahili La Kongo Hapa....
Hehehehe niko na beste yangu,
''hebu ongea basi nipange masiku tuje kukulana!!!joo najua hata manzi yangu ile ya mwisho niliompanda ,alinipa sifa kede kede!!!!''
Lol hata kama upo in a romantic mood inakata KAT!!!!
Af wanajionaga wanajua swahili kuliko wabongo!
Hehehehe niko na beste yangu,
''hebu ongea basi nipange masiku tuje kukulana!!!joo najua hata manzi yangu ile ya mwisho niliompanda ,alinipa sifa kede kede!!!!''
Lol hata kama upo in a romantic mood inakata KAT!!!!
Af wanajionaga wanajua swahili kuliko wabongo!
hao si wawest..hao wa KEII...nlikutana nae akawa ananipiga Sound.....hahahah..yani apo anajiona anaromantic swaga balaa....nlikuwa nakenua tuuMbona unawachongoa macharlie wa westiii
Ahaaa....aki lady doctor we ni manzi ya nyeri! mbona swahili yako anakaa poa hivi? Au we ni msupaa wa unii?Woi, aki machalii wa bongo wamezidi kuleta unyee kama watoi
Ahaaa....aki lady doctor we ni manzi ya nyeri! mbona swahili yako anakaa poa hivi? Au we ni msupaa wa unii?
Nifungulie mlango nimerudi wife wangu.
Hapo sijambulia kitu au hiyo ni Sheng'
Kiswahili cha kenya = Nipe Maandazi Mbili
Si na urudi kule umetoka? Unataka pigwa mwiko wewe
Kweli wanakuharibia..Hawa wananiharibia lugha yangu kwa kweli,halafu hiko ni kiswahili au ni vilugha vya kule kwao?
Nalog off