Kiswahili cha Kenya

"Maziko ya Mwendazake yatafanyika kwenye makaburi ya Lang'ata".
mwendazake=Marehemu
 
hehehe, hizo hamu ziweke mfukoni bwana.
:help:sasa kwani imekuwaje ukawa na kiu ya hivyo mpaka naogopa hehehe.
nisije nikaambiwa nimeku-rip bureee:noidea:
Afu una roho mbaya wewe!!!!!!!!! Nina hamu...nasma nina hamu mpaka nachanganyikiwa..tuma ile ishu basi mjeda!!!!
 
Nyie watu waTZ mnatucheka na kiswahili yetu mbovu. Ngoja me niwahi mathree (matatu) nifike taoo (town).
 
huku bongo lugha yenu ya taifa tunaiita lugha ya malkia.
 
Nyie watu waTZ mnatucheka na kiswahili yetu mbovu. Ngoja me niwahi mathree (matatu) nifike taoo (town).

Naenda Tanesco kulipia stima. Then napanda ma-three kwenda hiyo pande ya westiii, naendamcheki yule manzi wa ki-tz ako na njaro nyingi lakini ni mrembo na msupuuu
 
Naenda Tanesco kulipia stima. Then napanda ma-three kwenda hiyo pande ya westiii, naendamcheki yule manzi wa ki-tz ako na njaro nyingi lakini ni mrembo na msupuuu

Unaenda kenya power kulipia stima. Na mbona stima yenyewe imeenda "imekatwa"?
 

Sababu ya kutotumia 'ma' kwenye tarakimu kama sita na saba nikutokana na maneno hayo kutoholewa kutoka lugha ya kigeni tofauti na tarakimu nyingine za kibantu kama moja au mbili. 'Ma' hutumika kuonyesha wingi katika lugha nyingi za kibantu, ndiyo maana tunasema andazi moja, maandazi mawili, matatu, manne, matano lakini unapofikia sita hakuna neno la kibantu linalotumika katika kiswahili cha kisasa ndiyo maana haina haja ya kutumia 'ma'.

kwahiyo siyo kweli kwamba wakenya wanaonge kiswhili fasaha.

- Hii nilijifunza kutoka kwa Rais wa awamu wapili Alhaj Ali Hassan Mwinyi kwenye kipindi chake cha kiswahili Radio Tanzania mwanzoni mwa miaka ya tisini.
 

Makaa/Mkaa
Mataa/ taa
 
"Mi Bado Ona Yeye" ........... yaani mimi sijamuona!!!!!
 
" NI NINI MBAYA NA WEWE??????? "................Yaani "Whats wrong with You?????"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…