Kiswahili cha Kikenyakenya

Kiswahili cha Kikenyakenya

matatuu-daladala
jua kali-machinga
manzi-msichana
genge.........??
 
Simu yako ilikua mteja-Simu yako ilikua haipatikani (sauti ya customer service "mteja unayempigia.......)
 
Veve- gomba, mirungi
Sasa- mambo,habari
Katia- tongoza
Karau-polisi
Makanga-konda
Keja-gheto chumbani
 
kila ukiitwa umekuwa ukiharisha, lakini leo umekunya, tunashukuru kwa kunya kwako
 
Lugha yoyote ni lazima iwe na dialects. Sasa cha ajabu ni kipi kama Kiswahili cha wakenya kiko hivyo?
 
Budaa=Mzee
Chipoo=Chipsi
Chapoo=Chapati
Deree=Dreva
Mnenee au Mzito au sonko=Tajiri
 
Njeve-Baridi
Matatu-Daladala
Credo-Pesa
 
Back
Top Bottom