Kiswahili cha TBC

Kiswahili cha TBC

nash2010

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2010
Posts
624
Reaction score
216
hivi TBC wakisema "habari mpasuko" huwa wana maanisha nini.
 
kuna wale wa binafsi husema 'habari zilizotufikia hivi punde' yatizo ni kwamba TUKI na BAKITA wanapenda kutafsiri neno kwa neno mfaano breaking news ni maneno mawili na kiswahili chake watataka iwe vivyo hivyo hilo ndio tatizo wanatuletea viswahili vya kipuuzi, tafsiri neno kwa kiswahili halisi kata kama lina maneno mengi sina hakika kukua kwa kiswahili ndio huku wakati kenya wanatfsiri wajuavyo na tz nao wanavyojua na ukiingia ktk nyanja ya teknohama ndio utachoka kabisa. mimi natumia window 8 lkn kwenye kiswahili nimechemka pamoja na kuwa lugha yangu sijui kama hii misamiati mipya imeanza kuingizwa mashuleni.
 
Ha!Ha! umenikumbusha jinsi nilivyotoka nduki na kurudi kwenye kidhunghu fasta baada ya kuona misamiati ya functions mbalimbali kwa kiswahili kwenye windows zilivyonikoroga!
 
Maneno mengi tu lakini si habari mpasuko.

Habari mpasuko ni direct translation ya "breaking news" na katika Kiswahili maneno haya hayana mantiki.

Bora habari zinazokunjuka, habari zinza, habari tangiza, habari ziso halasa, habari hirimu, habari mlahaka, habari za kiada...

Hivi mbona maneno ya Kiswahili yapo mengi tu hayatumiki?
 
Back
Top Bottom