Kiswahili cha Zanzibar

Kiswahili cha Zanzibar

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.

1. Mchirizi (Mfereji)

2. Umenifahamu? (Umenielewa)

3. Markiti (Sokoni).

Edits, from posts in this thread:

4. Skuli (shule)

5. Chogo (kisogo)

6. Tungule (nyanya)

7. Ami (Rafiki)


Tuendeleze na mengineyo
 
Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.

1. Mchirizi (Mfereji)

2. Umenifahamu? (Umenielewa)

3. Markiti (Sokoni).

Edits:

4. Skuli (shule)

5. Chogo (kisogo)

6. Tungule (nyanya)

7. Ami (Rafiki)


Tuendeleze na mengineyo
Usinikhanithi wewe (usiniletee ujinga ama ushenzi)

Shindano (sindano)

Ntakubia mikwaju (ntakupiga bakora)

Njugu (ndo karanga kwa kwetu bara)

Njugu mawe (ndo njugu duara kwa kwetu bara)

Kaliwa kipira (manake kaliwa sehemu ya nyuma(tigo)

Mnyamwezi yule (yaani mbara yule atoke atakako toka lakini maadamu anatoka bara ni nyamwezi tu)

Anzingua yule (yaani ndo anazingua)

Kunaenda wapi(unaenda wapi ila hiki sana ni WAUROA ndo huongea hivi)

Mtoto ana buno yule (buno ndo tako ama kalio la maana)
 
Back
Top Bottom