Neno Markiti lilitokana na wao kushindwa kutamka neno Market.Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.
1. Mchirizi (Mfereji)
2. Umenifahamu? (Umenielewa)
3. Markiti (Sokoni).
Tuendeleze na mengineyo
Kizanzibari ni tonation yao mkuu.Kwani Zanzíbar wanaongea Kiswahili kumbe ? Nilidhani wana lugha yao inaitwa Kizanzibari 🏃🏿♂️🏃🏿♂️
HahahaKuja juu- kuamka
Usinikhanithi wewe (usiniletee ujinga ama ushenzi)Baadhi ya maneno yanayopishana mazoea au maana ya kutumika Zanzibar.
1. Mchirizi (Mfereji)
2. Umenifahamu? (Umenielewa)
3. Markiti (Sokoni).
Edits:
4. Skuli (shule)
5. Chogo (kisogo)
6. Tungule (nyanya)
7. Ami (Rafiki)
Tuendeleze na mengineyo
Kiporo ni kilichobaki kama chakula cha jana.Viporo
Kiporo ni kilichobaki kama chakula cha jana.
Ila VIPOLO akwa l ndo viroba kwa kwwtu bara.
Naam ukiweka R inakuwa maana kilichobakia kama chakura mana nyingi hupenda kusema UPORO.Kumbe wanaweka l badala ya r
Naam ukiweka R inakuwa maana kilichobakia kama chakura mana nyingi hupenda kusema UPORO.
Ila kipoLo ndio mfuko ama kiroba.
Hahahah poa mkuu kam kushafahamu.Asante mkuu, nshakufahamu[emoji2]
[emoji3][emoji3]Maziwa yanachemka- maziwa yanafoka