tabibumtaratibu
JF-Expert Member
- May 29, 2011
- 2,414
- 1,215
Kiswahili chafa..??? Tanga kunani weyeee,,:lol::lol:. Waja leo warudi leo.!!
Mimi sidhani kama ni tatizo maana hayo maneno hutafasiriwa tofauti tofauti kutokana na mada na mahali husika!Still unaweza kutamka kubanduliwa kwa maana yake halisi mahala fulani isiwe shida!Mkuu usipate shida na maneno ya vijana mitaani!!
Shajala za mtaani hizo. Ndo kinaendelea kukua
Jaman watumiaji wa kiswahili mmeliona hili?Ngoja niwaoneshe "kuna maneno kede wa kede ya kiswahili yamepoteza hadhi yake ya kawaida na kuvikwa hadhi ya matusi,mfano maneno kama;kuliwa,kupakuliwa,kupigwa,kugeuzwa,kubanduliwa na kadhalika"jaman mbona twakitia ukakasi wa maana kiswahili chetu?Tuacheni tabia hii sio nzuri katika kaumu.