Nasri A Kulemba
Member
- Oct 16, 2015
- 20
- 56
Ingetaja na nchi zilipo hizo lugha ingenogaAfrica's Most Spoken Local Languages
1. KiSwahili (200 million speakers)
2. Hausa (120 million speakers)
3. Amharic (57 million speakers)
4. Yoruba (50 million speakers)
5. Igbo (45 million speakers)
6. Fulani (41.6 million speakers)
7. Oromo (37.4 million speakers)
8. Berber (32 million speakers)
9. IsiZulu (28 million speakers)
10. Malagasy (20 million speakers)
Credit: Africa facts zone
[emoji328] Swahili
View attachment 2626667
Kiarabu sio local language.Lugha inayoongelewa na watu Wengi Africa ni Kiarabu labda kama unamaanisha kusini mwa Jangwa la sahara. Algeria, Egpty, Morocco, Libya, Sudan, Chad, Tunisia, Djibout, Mauritania, Western Sahara etc wote wanaongea kiarabu.
Kwa logic hii Amharic pia sio local ni Afroasiatic, same kwa Berber nayo ni hivyo hivyo. Kiswahili chenyewe ni debate.Kiarabu sio local language.
Nandio nashangaa kiarabu ndo firstLugha inayoongelewa na watu Wengi Africa ni Kiarabu labda kama unamaanisha kusini mwa Jangwa la sahara. Algeria, Egpty, Morocco, Libya, Sudan, Chad, Tunisia, Djibout, Mauritania, Western Sahara etc wote wanaongea kiarabu.
Kwa nini sio local Mkuu?Kiarabu sio local language.
200m+1=201m mkuu nimekuhesabu sasaIngetaja na nchi zilipo hizo lugha ingenoga
Halafu bado kuna waswahili wanaona aibu kuzungumza lugha yaoAfrica's Most Spoken Local Languages
1. KiSwahili (200 million speakers)
2. Hausa (120 million speakers)
3. Amharic (57 million speakers)
4. Yoruba (50 million speakers)
5. Igbo (45 million speakers)
6. Fulani (41.6 million speakers)
7. Oromo (37.4 million speakers)
8. Berber (32 million speakers)
9. IsiZulu (28 million speakers)
10. Malagasy (20 million speakers)
Credit: Africa facts zone
[emoji328] Swahili
View attachment 2626667
Tumeumbiwa kuvitaka tusivyokuwa navyo