Kiswahili chatumika ICC

Kiswahili chatumika ICC

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Shahidi wa kwanza wa Mashtaka katika kesi inayomkabili Mkamu wa Rais wa Kenya,William Ruto leo ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai(ICC). Shahidi huyo wa kike ametoa ushahidi wake akiongozwa na Waendesha Mashtaka kwa kutumia lugha sdhimu ya Kiswahili. Mkarimani alitumika Mahakamani hapo.

Nimefarijika sana!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Nasikia ametoa UShahidi wa Kikwete sana(Dhaifu)
 
Ni fahari iliyoje kwa wazungumzaji wa kiswahili. Wakenya wanatuacha... ninaamini angekuwa Mtanzania angejidai kuongea kiingereza hata kama hakifahamu vizuri. Inasikitisha sana kuona jinsi tunavyojidhalilisha mbele ya uso wa dunia wakati tuna lugha yetu ya kujivunia!
 
wanaokijua kiswahili hawakipendi, wasiokijua wanakitamani:bowl:
 
Back
Top Bottom