Shahidi wa kwanza wa Mashtaka katika kesi inayomkabili Mkamu wa Rais wa Kenya,William Ruto leo ameanza kutoa ushahidi wake katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai(ICC). Shahidi huyo wa kike ametoa ushahidi wake akiongozwa na Waendesha Mashtaka kwa kutumia lugha sdhimu ya Kiswahili. Mkarimani alitumika Mahakamani hapo.
Nimefarijika sana!
Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam