Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kiswahili chetu huwenda kuna maneno yumkini hayako sawa katika kuleta uwiano wa maneno na au kiko sawa Ila kuna maneno yakitamkwa huonekana ni kama yako sawa na ukija kwenye kuutafuta ukweli, mtu unajikuta neno hilo linalokataza kitu Fulani kisifanyike, basi pia neno hilo hilo linamkataza msemaji naye anyamaze
Kuna msemo umekuwa ukitembea saana miongoni mwa wanasiasa kusema!
Legacy hailindwi wala kutetewa, Ikiwa ndivyo kwamba hailindwi na hata kutetewaa Je, legacy yeyenyewe inatoa mwanya kwa wanaoiponda pekee yake ili hao badaye waje kusema walikuwa wakipambana na Legacy isiyopondwa?
Ni nani sasa atakuja kuwathibitishia hao watukanaji wa hiyo legacy kuwa haikuwa ya kupondwa?
Ikiwa legacy si ya kulindwa wala kutetewa, basi pia legacy, sio ya kupondwa kwa hoja za kijinga, unapambana na Kitu inaitwa Legacy kila uchwao,
Tuamini nini sasa, na kwa nini kila siku upambane na legacy?
Mimi nadhani, ikiwa Huyu anayesemwa kuwa hakuacha Legacy yoyote, huyu jamaa ni mshindi mpaka sasa na legacy wanayokaa kila siku kuitukana, ndiyo hiyoo kaiacha!!
Legacy hailindwi na kutetewa, pia Legacy hiyohoyo haipondwi kwa hoja za kijinga!