Kiswahili fasaha.

Kiswahili fasaha.

JODY BYABATO

Member
Joined
Aug 6, 2010
Posts
17
Reaction score
4
Hivi mtu ambae mmeoa katika familia moja, we umeoa mkubwa yeye kaoa mdogo unamuitaje? Mke wa mjomba ni sahihi kumuita shangazi? Mume wa shangazi unamuitaje? Baba yangu anamuitaje baba mkwe/mama mkwe wangu?
 
Mtu ambae mmeoa katika familia moja, we umeoa mkubwa yeye kaoa mdogo unamuitaje? Mume mwenza
Mke wa mjomba ni sahihi kumuita shangazi? Si sahihi........muite Mama Shangazi
Mume wa shangazi unamuitaje? Baba Shangazi
Baba yangu anamuitaje baba mkwe/mama mkwe wangu? Kivyele
 
Back
Top Bottom