W wa baha ela Member Joined Jan 20, 2013 Posts 37 Reaction score 5 Jul 3, 2013 #1 Naomba niondolewe utata huu, inaitwa OFISI au AFISI?
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Jul 3, 2013 #2 na mimi wakati mwingine nawasikia hasa wazanzibar wakitamka afisi. wenye kujua neno sahihi watatufahamisha.
na mimi wakati mwingine nawasikia hasa wazanzibar wakitamka afisi. wenye kujua neno sahihi watatufahamisha.
wamogori JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 888 Reaction score 339 Jul 3, 2013 #3 Neno sahihi ni ofisi, ikiwa na maana chumba au sehemu inayotumika kikazi au kibiashara.
M Megawatt B JF-Expert Member Joined Aug 23, 2011 Posts 259 Reaction score 69 Jul 11, 2013 #4 neno sahihi ni afisi, ofisi ni kiingereza. Afisa Afya wa wilaya... District Health Officer