Hivi nifanye nini ili niweze kuandika kisahili vzr katika Microsoft Office application km ms word nakadhalika ukidownloadi Kiswahili languange pack na ukiiweka humo bado maneno mengi hayamo je kuna extension yoyote inaweza kusaidia katika hili
Natanguliza shukrani za dhati
Nimeweka na screen shoot tena za uzi huu huu ili twende sambamba maana nachoka kuadd maneno katika Dictionary
mkuu hapa labda tutengeneze extension kwa ajili ya lugha yetu. Na hii naona na changamoto sehemu nyingi sana kwenye vitu vya kiteknolojia inabidi tutengeneze itakayo kuwa flexible ili kuitumia sehemu tofauti tofauti.