To some if not many of you this many not be new, but I hope it may be usefully to some. Google Translate sasa inaweza kutafsiri lugha ya Kiswahili. Japo ina mapungufu yake lakini ni ya msaada pia na kama kawaida ya Google inatoa nafasi ya mtu kuchangia kuboresha lugha hasa pale unapokuwa hujaridhika na majibu yao.
Hicho kiswahili kilicho tumika ni kile neno kwa neno, kwa maana hiyo ukiwa na article ndefu inabidi uhifanyie uhakiki tena ili taarifa yako ipate kueleweka.