Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

Kiswahili kinagombewa na Wakenya kuliko Tanzania

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Yani inauma sana hawa wakenya wanajua kutembelea code za Tanzania kwenye fursa zilizopo hapa. Kumbuka Kenya asilimia kubwa imejaa kikabila kuongea na ndio maana lugha yao kubwa ni Kingereza ila suala la kujitangaza kiswahili kipo kwao wameshinda hili.

Nimeshangaa fursa hii tumeshindwa kupeleka nchi zatu huku wakipata wakenya
 
Back
Top Bottom