Exaud J. Makyao
JF-Expert Member
- Nov 30, 2008
- 1,518
- 24
Je nawezaje kujua kama kiswahili kinakua?
........, kwa mtazamo wangu, kinakuwa....... Unaweza kujua kwa kuangalia idadi ya watu wanaongea lugha hiyo duniani.
QUOTE]
OFFISH,
Mawazo yako ni mazuri,
Napata mashaka kama Wazungumzaji wa kiswahili duniani wanaongezeka.
Mashaka haya nayapata pale nina uhakika kwamba hata watoto wengi wa kizazi kipya Tanzania si watumiaji wazuri wa kiswahili.Wengi hupendelea kiingereza, na kusoma katika shule za mifumo ya kiingereza(ENGLISH - MEDIUM SCHOOLS).
Nadhani ni wazi Kiswahili kinakua.
.........................
Halafu angalia pia mtandaoni: mablogu (ingawa mara nyingi Kiswenglish) na ]sw.wikipedia.com (inayokua na kuhitaji wachangiaji zaidi!).
Ila tu sioni Kiswahili Afrika kote. Nenda Afrika ya Magharibi jaribu kupata fufu kwa Kiswahili utaona.
Kiswahili kinazidi kukua ................ mifano ya academy schools ni midogo sana ;;;;;;;;;;;;;;.
Kasumba ya Kiingereza inayowafanya watunga sera wetu kushindwa kukirushusu Kiswahili kiwe lugha ya kufundishia mashuleni....