Kiswahili kinaweza kuwa Biashara unajua

Sivan

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2020
Posts
923
Reaction score
1,228
Unajua kuna sehemu hapa Duniani kuna mzungu au mtu kutoka taifa lolote anataka kujua kiswahili mbali na kuwa na access ya kujifunza kiswahili lakini anakuwa more exceted kumpata mtu atakae ongea nae ili kupata uzoefu, huyu yupo tayari kuongea na Mswahili harisi hata kwa simu ndani ya saa 1 tu kwasiku na akamlipa ila huyo wakumpa huduma hiyo hakuna.

Hapa tunazungumzia Dunia nzima USA,UK,China,Canada Etc watu hawa wako wengi walio na hitaji kama hili Dunia nzima.

kuna idadi kubwa ya watarii wanaotamani kuja Tz kabla ya kuja wanapenda kujua vitu vingi vinavyohusiana na Tz ikiwemo lugha na utamaduni kwa uchache tu kabla wajafanya safari...You can catch them.

Kuna wwngine si watarii ni wanapenda kujifunza vitu vipya tu wapo wengi.

White race hawaoni tabu kulipa U$D 25 kwakuongea nawewe kiswahili kwa lisaa limoja tu kwasababu ya kujifunza, Socilize, Get Experience.

Huitaji kuwa Expert wa lugha kutoa huduma na unaweza tengeneza potential costumers image kwaaiku una wazunguku wako 4 kila kichwa kinakupa $ 20 na wote unawahudumia kwa miezi kama 2.

Hii inawezekana kwasababu kama mbongo ambaye tunaamini mtu mgumu Duniani anaweza kumlipa mtu kwanjia hii kujifunza English je Mzungu, kuna watu wawili niliona wanataka huduma kama hii wabongo jukwaa la lugha.
 
Mpk sasa hivi wewe binafsi kiswahili kimeshakuingizia sh. Ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…