Kiswahili kitamu sana #KOJOZA.

SamTu160

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2016
Posts
624
Reaction score
568
Wakuu habari za Sunday..
Leo baada ya kunywa juice yangu ya ukwaju nikipoza hang over ya jana. Ghafla inaingia text ya rafik angu, Mkuu unamkojoza nani weekend hii...
Nimeangua kicheko mpaka msupa pembeni angu ambaye muda wote hakuwa na time na mimi akatabasam.
Kichwani nikawaza na kutoa tabasamu kwa mbali, nikaanza changanua huu msamiati KOJOZA.

KOJOZA, KOJOZWA, KOJOZANA, KOJOZEA, KOJOZEANA ......

Bado napambanua hili neno adimu lenye ladha ya pwani ya Tanga.
Tisa kumi usiombe mpenzi wako akojozwe na mwingine.

NB. Ukuje pole pole.
 
Happy
Njoo nikukojeze... Teh Teh
 
na KOJOZESHWA, KOJOLEWA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…