longi mapexa
JF-Expert Member
- Jul 18, 2015
- 3,265
- 4,250
mtunza bustani!bingwa wa kukojoza africa mashariki na kati ni nan tena yule.......
shi...shi...shi...ndwa sheitwaaan!Tanzania imekojozwa na Wachina
Na mzizi wa neno ni KOJO !hahaha you made my day!![emoji15]
KOJO ndo nini!!?[emoji15] [emoji15]Na mzizi wa neno ni KOJO !
Na anakojoza tanzaniaDuh mkuu mbona hata watanzania tunabaguana.
Mtoa post ni mtanzania halisi.
Amezaliwa Tanzania, kasoma Tanzania, aishi Tanzania.
Una Swali lingine