Kiswahili kozi in Zanzibar..

pascaldaudi

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2009
Posts
534
Reaction score
96
Hello Great of Great Thinkers!!
Jamani nina jamaa zangu wanataka kuja bongo wakitokea ulaya, ila wanahitaji kusoma kozi ya Kiswahili, na sehemu wanayotaka kusoma ni wakiwa Zanzibar, sasa je kuna mtu anayefahamu sehemu ambayo ni:
  1. Nzuri kwa ufundishaji (wapo siriasi)
  2. Yenye kufikika kiurahisi (maana iwe karibu na labda hoteli nzuri, na haina vibakavibaka)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…