stella D Kanuti
Member
- Jul 9, 2014
- 64
- 9
Kwa hali halisi ilivyo sasa,lugha ya kiswahili kutowekewa misingi mizuri ya kukua na kuenea kwake kama ilivyokua miaka kadhaa baada ya uhuru,..baada ya miaka 10 ijayo asilimia kubwa ya watz tutakuwa hatujui kiingereza wala kiswahili...na lugha tutakayoiongea haitokua kiswanglish,kwa sababu itakua ni matokeo ya broken english na viswahili/kiswahili kisicho sanifu...sasa nini kifanyike kunusuru aibu ya huko mbeleni?