Kiswahili kumbe hakieleweki hata hapo kwa jirani Malawi, tunakikuza kuliko uhalisia, ni ajabu

Asante Sana mkuu kwa Juhudi zako,serikali hii inaweza ikawa haifanyi Juhudi za kuitangaza nchi yetu kwa kuwa priority ya rais wa awamu hii ni madaraka yake na chama chake,ila hiyo isikuvunje moyo.kuhusu flyover,kinachotusumbua hapa kwetu ni ushamba,umasikini na ujinga,kutokana na ujinga na umasikini wetu wa Mali na akili basi tumeshindwa kujua maendeleo ni nini, tumebaki tukihangaika na vitu vidogo vidogo tu.Tunaposema US imeendelea hatuhesabu flyover walizonazo au train za umeme walizonazo au madaraja na tunnels walizojenga,bali productivity ya watu wao na standard ya huduma za Jamii,sisi ndege tu kununuliwa serikali nzima inahamia airport,usingekuwa ushamba Wala wasingehangaika hivi,
 
Nashukuru umejua tatizo lako lilipo, kwa sasa china imeshatawala soko la africa lenye mamia ya lugha tofauti, japan inaingiza magari na redio yaliyoandikwa kijapan, no one cares. Unazungumzia biashara gani!!!bangiri za kimasai???

Mpumbavu wewe..sorry to say that!

Wachina wakija wanaongea Kichina?

Wajapan wakija wanaongea Kijapan?

Ukiagiza mizigo China au Japan unaongea Kiswahili au Kizaramo?

Linafiki likubwa wewe!
 
Mpumbavu wewe..sorry to say that!

Wachina wakija wanaongea Kichina?

Wajapan wakija wanaongea Kijapan?

Ukiagiza mizigo China au Japan unaongea Kiswahili au Kizaramo?

Linafiki likubwa wewe!
Wewe ni mjinga sana mkuu.

Si uulize kwanza!!! Uliishaenda china??
 
kwani sisi kimalawi chao tunakijua...tujifunze kuvalue chetu jamani
 
Umesema yote siongezi. Watoto na wajukuu wetu watatuhukumu.
 
Kabla ya huu uzi sikiliza wimbo na video ya Bobi Wine uitwao Afande ameutunga akiwa kizuizini nyumbani kwake ndipo utathimini kama kiswahili kinakua au la pia tafuta kipande cha video ya Mugabe akikubali kukabidhi jeshi alichokisema
 
Wewe ni mjinga sana mkuu.

Si uulize kwanza!!! Uliishaenda china??

Shanghai,Jiangsu,Changsha,Beijing,Shenzen na Guangzhou....

Sio China tu,HongKong,USA,Germany,UK,SA,Japan,etc

Screenshot passport yako na mimi niweke yangu!

Ulipoenda kununua mizigo China uliongea Kiswahili?Au ulitumia mkalimani?

Au uliandika emails kwa Kiswahili?

Ulivyo punguani,Ubalozi wa China ulijibu maswali kwa Kiswahili au ulikua bubu?

Na ofisa gani alikupa visa bila kuongea chochote?

Mjinga,mjinga wewe!
 
Weka ya kwako itatosha.

Kwahiyo umefanikiwa kwenye biashara yako sababu ya kujua kiingereza!!!!
 
Mkuu siyo vizuri kujibizana na mjongwa, please?unataka Ascreen shot passport ipi ambayo hana?
 
Weka ya kwako itatosha.

Kwahiyo umefanikiwa kwenye biashara yako sababu ya kujua kiingereza!!!!

Huna lolote wewe!

Swali la kipumbavu kabisa!

Wewe unadhani contacting mpaka unanunua mizigo unaleta ni Kiswahili kilitumika?

Ni Kiingereza!

Acha kusoma Kiingereza uone kama kwenye hii dunia utakatiza popote!

Hivi ni ubalozi gani utaenda kuomba visa kama hujui Kiingereza au lugha ya nchi husika?Utaje hapa!
 
Mkuu siyo vizuri kujibizana na mjongwa, please?unataka Ascreen shot passport ipi ambayo hana?
Kwahiyo niiweke hapa ili tu wewe na huyu mumeo mjue nimesafiri[emoji16][emoji16][emoji16]. acha tabia za ushoga bana.
 
Ni vigumu kunielewa sababu umeshachagua cha kusikiliza.

Haaya endelea na biashara.
 
Kabla ya huu uzi sikiliza wimbo na video ya Bobi Wine uitwao Afande ameutunga akiwa kizuizini nyumbani kwake ndipo utathimini kama kiswahili kinakua au la pia tafuta kipande cha video ya Mugabe akikubali kukabidhi jeshi alichokisema
Achana na wauza ukwaju humu, hawaelewi chochote maneno meeengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…