CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 933
Ahahaa,nasikia "KIBORO" cha chana cha wari' huwa ni kitamu sana bi dada!!
Sema haki ya MUNGU!!!!Yani nimecheka balaaaa hadi machozi
Oyaaa! Hebu fikiria maneno yako b4 ujapost! Sio full kunyanyuka na maneno yasiyo na point! Heshima ni kitu kizuri sana!
ahahahahaaaaaaaaaaa!!!!kiswahili kilivyotatiza msibani tarime:
Ndugu sangu tumekucha hapa maarum kwa chambo mocha tu. Mama rhobi amefirwa na kaka yake usiku wa kuamkia reo. Chambo ra kufirwa si ra mcheso, na sio ra mtu mmocha mmocha. Reo kafirwa mama rhobi,
kesho ntafirwa mimi, kesho kutwa utafirwa wewe mama bhoke.
Kira mtu rasima afirwe, sasa chambo la kushaangasa tokea chana tume pewa uchi wa moto na kiboro cha chana cha wari! Chezea wakurya wee utavunjika mbavu.
we paka shume,hivi unajua hii post ipo jukwaa gani au unakuja kama mtu aliyefumaniwa chooni????oyaaa! Hebu fikiria maneno yako b4 ujapost! Sio full kunyanyuka na maneno yasiyo na point! Heshima ni kitu kizuri sana!
Oyaaa! Hebu fikiria maneno yako b4 ujapost! Sio full kunyanyuka na maneno yasiyo na point! Heshima ni kitu kizuri sana!