Kiswahili Kwenye msiba Tarime:

Tuambie kwanza wewe ni kabila gani, japo tunajua mkani wa mkurya ni MNYIRAMBA TU, ndie mwenye kibari hicho cha kuwatania, je wewe ni mnyiramba ? ? ? ili wakupe vidande vyako
nani arikudanganya hvo,mhaya je? Hebu tutokee hapa,rione ririsha rinu.
 
mwingine alikunywa uji uliopikwa na Mama Robhi ulikuwa mtamu lakini wa moto ndipo akaanza kuusifia akasema:
Uchi wa mama Robhi wa moto harafu ni mutamu chamani.....................

Teheteheee uwiiiiiiiiii hahahahahahaaaa!! Chamani nimesaonekana muchawi eti nacheka usiku Wa Sa Saba arafu Niko mwenyewe! Chamaniiiiii!! Wacha wakurya waendelee kusaliwa tu...
 
mwingine hapo msibani kwa mama rhoda akamuliza mtarime msara ajisaidie alipoonyeshwa akaenda akakuta wameandika wanaume akarudi kumuliza mtarime mbona kuna wa wanaume tu akajibiwa"nennda kakojoe nani kakwambia kuna mukojo wa kiume na mukojo wa kike acha kusumbua watu"
 
Awari ya yote mh. Mkuu wa wiraya, nakupa pole za zati kwa kufirwa na mtoto wako wa kiume , mpaka ikakuperekea kuharisha mkutano wetu uliopita.
 
nani arikudanganya hvo,mhaya je? Hebu tutokee hapa,rione ririsha rinu.

Nadhani watu wengi hawalielewi hili, WAHAYA kwao BUKOBA wanajuwa wanataniana na watu wa mkoa wa MARA wote, Hii siyo kweli kabisa ni kweli kabisa MHAYA mtani wake ni MJALUO, jaribu kuuliza wazee wa zamani waliopo watakuhadithia hilo na sio Kabisa MKURYA, Kwa culture ilivyo ya kikurya Mhaya asingeweza kumkaribia mkurya hata kidogo hapo zamani kwa sababu moja kuu kuwa ni MRISSYA ilikuwa mwiko hata kukaa pamoja, Kwa hiyo MHAYA anataniana na MRISSYA mwenzie MJALUO, Wazazi wanasema mtani wa mkurya ni MNYIRAMBA TUUUUU... Tafadhali nisieleweke vibaya ni kwa mujibu wa historia ya kale..
 
wewe nae umetokea wapi!!!? Kama hujui kitu si unanyamaza tu!!? KAA KIMYA!!! MRISYA MWENYEWE!!!
 
mwingine alikunywa uji uliopikwa na Mama Robhi ulikuwa mtamu lakini wa moto ndipo akaanza kuusifia akasema:
Uchi wa mama Robhi wa moto harafu ni mutamu chamani.....................

Jamani mbavu zangu
 
Awari ya yote mh. Mkuu wa wiraya, nakupa pole za zati kwa kufirwa na mtoto wako wa kiume , mpaka ikakuperekea kuharisha mkutano wetu uliopita.

Jmani maneno mengine ukadilisha inakuwa kichekesho, mbavu zangu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…