steveson manumbu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 887 Reaction score 178 Jul 17, 2014 #1 Habari! Karibu tujifunze lugha yetu ya Kiswahili ndugu zangu, mwenye dukuduku kuhusu maneno ya lugha ya Kiswahili uliza tujifunze.
Habari! Karibu tujifunze lugha yetu ya Kiswahili ndugu zangu, mwenye dukuduku kuhusu maneno ya lugha ya Kiswahili uliza tujifunze.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,319 Jul 18, 2014 #2 steveson manumbu said: Habari! Karibu tujifunze lugha yetu ya Kiswahili ndugu zangu, mwenye dukuduku kuhusu maneno ya lugha ya Kiswahili uliza tujifunze. Click to expand... Wewe ndio mwalimu au yeyote anaweza kuwa 'tutor'.
steveson manumbu said: Habari! Karibu tujifunze lugha yetu ya Kiswahili ndugu zangu, mwenye dukuduku kuhusu maneno ya lugha ya Kiswahili uliza tujifunze. Click to expand... Wewe ndio mwalimu au yeyote anaweza kuwa 'tutor'.
steveson manumbu JF-Expert Member Joined Apr 1, 2014 Posts 887 Reaction score 178 Jul 18, 2014 Thread starter #3 mimi mkuu pia yeyote anaweza kusaidia maana wote tu wazawa.
Bisansaba JF-Expert Member Joined Sep 4, 2013 Posts 292 Reaction score 109 Jul 24, 2014 #4 Kwani hakuna kisawe cha kiswahili cha neno 'tutor'?