Kiswahili lugha kubwa Bongo mpaka China

Kiswahili lugha kubwa Bongo mpaka China

Kwa tabia zetu waswahili kujiona kwamba bila kidhungu mambo hayaendi hiyo ndoto ni vigumu kuotwa!:director:
 
Ujinga wanaotuingizia wanasiasa na sisi tunakubali kuwa kiswahili siyo lugha ya kundishia inalighalimu sana Taifa. Tutaendelea kuwa watumwa wa waingereza mpka tukome. Tuna jifanya hatuelewi kuwa pale pale ulaya mjerumani anatumia lugha yake, mfaransa vivyo hivyo, muitalianao, mreno, mhispania nk kila mtu anatumia lugha yake na wanapiga hatua za maendeleao. Utumwa wa akili ni mbaya kuliko ule wa kisiasa.
 
Kwa tabia zetu waswahili kujiona kwamba bila kidhungu mambo hayaendi hiyo ndoto ni vigumu kuotwa!:director:

umeona eeh!
Yaani mbongo akiwa na mdhungu ndani ya tz anajitutumua aongee kingereza, wakati yule dhungu ingebidi yeye ndio ajitutumue kuongea kiswahili.
 
Wenyewe tumekipa mgongo unadhani ninani atakijali??bila kuonge ng'eng'e unaitwa kapeto wa hapahapa!!Mitanania ndivyotulivyo!!
 
Back
Top Bottom