Ujinga wanaotuingizia wanasiasa na sisi tunakubali kuwa kiswahili siyo lugha ya kundishia inalighalimu sana Taifa. Tutaendelea kuwa watumwa wa waingereza mpka tukome. Tuna jifanya hatuelewi kuwa pale pale ulaya mjerumani anatumia lugha yake, mfaransa vivyo hivyo, muitalianao, mreno, mhispania nk kila mtu anatumia lugha yake na wanapiga hatua za maendeleao. Utumwa wa akili ni mbaya kuliko ule wa kisiasa.