Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Hongera Hayati JPM Kwa kuweka mbele kipaumbele cha Lugha yako Mama.
Uliwapa Motisha Viongozi wakuu mbalimbali walionyesha uwazi wao na kutumia Lugha yao katika Majukum yao.
Tukaona Mahakama Sasa zinaanza kutoa Hukumu Kwa Lugha Kiswahili ( Kwa msioelewa , Sheria na Mahakama zake, Zina tumia kingereza na misemo migumu sana kiasi kwamba kama wee sio Mzungu, basi unahitajika uwe na Kamusi pembeni).
Lugha ya Kiswahili imetuunganisha Kama Taifa lenye makabila zaidi ya 100.
Lugha ya Kiswahili ni Moja ya Thamani zetu ambazo tunatakiwa kupigania siku zote .
Mpumbavu, Mjinga na Adui wa Taifa pekee ambaye anaweza kusimama kuchochea Matumizi ya Lugha ya kiingereza kama Lugha ya kwanza hapa Nchini ... Ndioo ni Mjinga, Mpumbavu na Adui wa Taifa.
Unashangaa, Mjinga Mmoja anajisifia kuongea Kingereza kisa yeye ni Kiongozi? Huu ujinga wa wapi??
Kiongozi unachochea matumizi ya kingereza kuliko Lugha yako Mama, hadi kwenye masuala makubwa ya kitaifa ??.
Kiongozi unapopata Ziara huko, wee acha Kuhangaika na Kingereza, Piga kiswahili kwelikweli, piga kiswahili mpaka watamani waje Nchini wajifunze.
Leo hii vyuo vikuu mbalimbali mataifa ya watu huko, yanawatumia Wakenya zaidi kufundisha Lugha yetu, yote Kwa yote nikwasababu Sisi tunakikataa kiswahili chetu na Wakenya hawaoni aibu kuzungumzia Kiswahili.
Weee Lugha inayozungumzwa na watu zaidi ya million 200 Kwa Sasa, unaichukuliaje Poa???? Inawezekana ??.
Kwanini Sasa tusiww kipaumbele kiutangaza Lugha yetu ya Kiswahili ili ijulikane Duniani kua, katika hao watu milion 200, wenye Lugha yao yakuzaliwa ni WATANZANIA??.
Ujinga mtupu, Et siku hizi Mtu kuonekana ana Elimu ni msomi, lazima Ajue kuongea Kingereza ?? Ujinga mtupuuu na uzoba !!
Rais Putin wa urusi, mwaka 2005 alipitisha Sheria ya kulinda Lugha ya kirusi, Jana kapitisha Sheria inayotilia mkazo zaidi utumiaji wa Lugha ya kirusi Kwa Viongozi na Majukum ya kiuongozi .
Taifa kama Urusi linapamba kulinda Tunu zao, Wewe unadharau Lugha yako??.
mnasitisha sherehe za kumbukumbu muhimu zakitaifa, kiss porojo, wakati kama ni Fedha nyingi mnaziiba wenyewe ?.
Tuongeze nguvu katika kulinda Tunu zetu , na tusikubali mtu ambaye ama Kwa sababu zake za kimasilahi, au katumwa na wazungu, afutilie mbali Tunu zetu ambazo Mwenyezi Mungu alitupatia.
HONGERA HAYATI MAGUFULI, ULIKUA KIELELEZO SAHIHI KABISA CHA KUPIGANIA LUGHA YAKO KISWAHILI.
BABA , TOKA UMEENDA MBINGUNI... HATA ILE NGUVU YAKUPIGANIA LUGHA YA KISWAHILI, SASA HAIPO !!.