Kiswahili: Lugha ya Mabalozi Afrika ya Mashariki

21 Oct 2018
Nairobi, Kenya

Wengi hushangazwa na namna anavyotumia lugha ya Kiswahili katika hafla anazohudhuria. Balozi wa Japan humu nchini Toshitsugu Uesawa ana enzi lugha ya Kiswahili licha yake kujifunza miaka 40 iliyopita akiwa mwanafunzi Chuo Kikuu cha UDSM Tanzania .
Mwanahabari wetu Gatete Njoroge alizungumza na balozi Uesawa kuhusu mapenzi yake ya lugha ya Kiswahili aliyojifunza Tanzania na ushirikiano baina ya Kenya na Japan.
Source : Kenya Citizen TV
 
Alisoma udsm na anaishi Mombasa. Angeishi nai angekisahau kiswahili
 
Nairobi, Kenya

Balozi Remi Marechaux wa nchi ya Ufaransa ni zao lingine la wanafunzi wa kigeni waliojifunza Kiswahili nchini Tanzania
Hapa Mh. Balozi Remi Marechaux akizungumza wakati alipotembelea mtaa maarufu wa mabanda wa Kibera ulio mwendo mfupi kabisa toka katikati ya jiji la Nairobi.
 
Kiswahili kimenyooka vizuri aisee.
 
Mjitahidi msije fika mahali mabalozi wakaanza kuongea kiswahili vizuri kuliko wenyeji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…